Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi

, by ; ;
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi by Truong, Paul; Tan Van, Tran; Pinners, Elise, 9781440459979
Note: Supplemental materials are not guaranteed with Rental or Used book purchases.
  • ISBN: 9781440459979 | 1440459975
  • Cover: Paperback
  • Copyright: 11/6/2008

  • Rent

    (Recommended)

    $14.42
     
    Term
    Due
    Price
    *This item is part of an exclusive publisher rental program and requires an additional convenience fee. This fee will be reflected in the shopping cart.
  • Buy New

    Usually Ships in 3-5 Business Days

    $19.70

Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo.Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http:// www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.
Loading Icon

Please wait while the item is added to your bag...
Continue Shopping Button
Checkout Button
Loading Icon
Continue Shopping Button